5 Jan 2014

KIWANJA KINAUZWA DODOMA KWA UJENZI WA GHOROFA

KINA MAJI, FENSI YA TOFALI,  KIBALI CHA UJENZI NA RAMAN YA UJENZI YA GHOROFA  4, KIPO ENEO NYETI MNO. milioni 80. Nipigie. Shabani; 0754-251-452
Unaweza kujenga Ghorofa kama hili

Kiwanja chenyewe


4 Jan 2014

MAPUMZIKO YA UFUKWENI HUONGEZA SIKU ZA KUISHI,

 
PIA HUSAIDIA KUIMARISHA MAHUSIANO NA KUKARABATI NDOA CHAKAVU  
 HUBORESHA NDOA
Kucheza kwenye maji













Kulala mchangani



Kufanya michezo mingine kama kuvuta kamba/mpira

ZITTO; BADO NTAPAMBANA MPAKA DAKIKA YA MWISHO

PAMOJA NA KUKWAA KISIKI MAHAKAMANI BADO ASEMA YUKO FITI
Mh. Zitto Kabwe akijenga Hoja Bungeni

3 Jan 2014

ZITO ATINGA MAHAKAMANI KUZUIA ASITOLEWE CHADEMA

MAHAKAMA YAZUIA CHADEMA ISIMNG'OE ZITTO
Mh. Zitto Akitafakari Jambo

NAY WA MITEGO AFYATUA VIDEO; NAKULA UJANA

IMERIKODIWA AKIWA KAZUNGUKWA NA WAREMBO
Msanii Nay akizungukwa na warembo katika albam yake mpya

2 Jan 2014

MESSI AKWEA MLIMA KILIMANJARO

Messi naye yumo
MCHEZAJI WA BARCELONA FC AKIWA JUU YA MLIMA KILIMANJARO