3 Jan 2014

NAY WA MITEGO AFYATUA VIDEO; NAKULA UJANA

IMERIKODIWA AKIWA KAZUNGUKWA NA WAREMBO
Msanii Nay akizungukwa na warembo katika albam yake mpya
KWA SASA MSANII HUYU AMEONEKANA KUBADILIKA KUTOKA ZILE STAILI ZAKE ZA KIBISHI NA KUJA NA STAILI ZA KISHARO BARO

No comments:

Post a Comment