KIFO CHA GHAFLA,
ALIKUWA MKUU WA WILAYA YA DODOMA
ALIKUA MTU WA KAWAIDA,
AKITOKA KAZINI ANACHUKUA VIFAA VYAKE NA KUANZA KAZI UFUNDI,
ALIKUA NA UWEZO WA KUUNDA MEZA, VITANDA NK.
DOM BEST IMEJIFUNZA MAMBO KIBAO TOKA KWAKE
25 Mar 2014
21 Mar 2014
DOM BEST YAUNGA MKONO JUHUDI ZA KUPAMABANA NA MAJANGILI
DOM BEST imeungana na kituo cha watoto Foundation katika kampeni ya kuzuia ujangili kwa kuandaa vipeperushi kuelimisha wananchi
Subscribe to:
Posts (Atom)