KIFO CHA MH. JOHN TUPPA; MKUU WA MKOA MARA CHAHUZUNISHA DOM BEST
KIFO CHA GHAFLA,
ALIKUWA MKUU WA WILAYA YA DODOMA
ALIKUA MTU WA KAWAIDA,
AKITOKA KAZINI ANACHUKUA VIFAA VYAKE NA KUANZA KAZI UFUNDI,
ALIKUA NA UWEZO WA KUUNDA MEZA, VITANDA NK.
DOM BEST IMEJIFUNZA MAMBO KIBAO TOKA KWAKE
No comments:
Post a Comment