10 May 2014

12 Apr 2014

MVUTANO JUU YA KATIBA MPYA WAENDELEA DODOMA.





Wapinzani wataka serikali 3
CCM serikali 2

MAFURIKO DAR

MJI MZIMA WAJAA MAJI

25 Mar 2014

KIFO CHA MH. JOHN TUPPA; MKUU WA MKOA MARA CHAHUZUNISHA DOM BEST

KIFO CHA GHAFLA,
ALIKUWA MKUU WA WILAYA YA DODOMA
ALIKUA MTU WA KAWAIDA,
AKITOKA KAZINI ANACHUKUA VIFAA VYAKE  NA KUANZA KAZI UFUNDI,
ALIKUA NA UWEZO WA KUUNDA MEZA, VITANDA NK.
DOM BEST IMEJIFUNZA MAMBO KIBAO TOKA KWAKE

21 Mar 2014

DOM BEST YAUNGA MKONO JUHUDI ZA KUPAMABANA NA MAJANGILI



DOM BEST  imeungana na kituo cha watoto Foundation katika kampeni ya kuzuia ujangili kwa kuandaa vipeperushi kuelimisha wananchi

20 Mar 2014

JAJI WARIOBA; MWANA CCM ASIYEBABAISHWA NA MISIMAMO YA CCM

ATETEA MSIMAMO WA KAMATI YAKE.
AUNGWA MKONO NA WANANCHI WENGI

12 Feb 2014

Kijana kaoa

Boss wa Dom Best apata jiko.

5 Jan 2014

KIWANJA KINAUZWA DODOMA KWA UJENZI WA GHOROFA

KINA MAJI, FENSI YA TOFALI,  KIBALI CHA UJENZI NA RAMAN YA UJENZI YA GHOROFA  4, KIPO ENEO NYETI MNO. milioni 80. Nipigie. Shabani; 0754-251-452
Unaweza kujenga Ghorofa kama hili

Kiwanja chenyewe


4 Jan 2014

MAPUMZIKO YA UFUKWENI HUONGEZA SIKU ZA KUISHI,

 
PIA HUSAIDIA KUIMARISHA MAHUSIANO NA KUKARABATI NDOA CHAKAVU  
 HUBORESHA NDOA
Kucheza kwenye maji













Kulala mchangani



Kufanya michezo mingine kama kuvuta kamba/mpira

ZITTO; BADO NTAPAMBANA MPAKA DAKIKA YA MWISHO

PAMOJA NA KUKWAA KISIKI MAHAKAMANI BADO ASEMA YUKO FITI
Mh. Zitto Kabwe akijenga Hoja Bungeni

3 Jan 2014

ZITO ATINGA MAHAKAMANI KUZUIA ASITOLEWE CHADEMA

MAHAKAMA YAZUIA CHADEMA ISIMNG'OE ZITTO
Mh. Zitto Akitafakari Jambo

NAY WA MITEGO AFYATUA VIDEO; NAKULA UJANA

IMERIKODIWA AKIWA KAZUNGUKWA NA WAREMBO
Msanii Nay akizungukwa na warembo katika albam yake mpya

2 Jan 2014

MESSI AKWEA MLIMA KILIMANJARO

Messi naye yumo
MCHEZAJI WA BARCELONA FC AKIWA JUU YA MLIMA KILIMANJARO

8 Dec 2013

SAMANI

AINA TOFAUTI ZA SAMANI TULIZONAZO



CHAGUA SOFA LOLOTE TUKUTENGENEZEE




CHAGUA SOFA LOLOTE TUKUTENGENEZEE



VIWANJA/NYUMBA

NYUMBA TULIZONAZO




INAUZWA, IKO DAR, MILIONI 350

INAUZWA, IKO DAR, MILION 180


INAUZWA, IKO ARUSHA, MILIONI 400

 



RAMANI ZA NYUMBA

                                                          RAMANI TULIZONAZO

INAUZWA NA TUNA MCHORAJI WA RAMANI ALIYEBOBEA



INAUZWA NA TUNA MCHORAJI WA RAMANI ALIYEBOBEA





SIASA

WATAALAM WAHUSISHA BIASHARA HARAMU YA PEMBE ZA NDOVU/MADAWA YA KULEVYA NA PESA ZA KAMPENI UCHAGUZI 2015

Tembo wakifurahia maisha kabla ya kuuawa

Tembo baada ya kuuawa na kutolewa meno yake

Kijana akijidunga madawa ya kulevya





MICHEZO NA BURUDANI

DIAMOND ATANGAZA SIRI TANO ZA KUMRUDIA WEMA
Wema kwa sasa haoni haya kubusu na Diamond hadharani

Wema kwa sasa anaenda kwenye shoo za Diamond na Kupanda stejini






MTAALAMU WETU

DR. MGIMWA.
MTAALAM WA UCHUMI ALIEKUFA HUKU TZ IKIMTEGEMEA KAMA WAZIRI WA FEDHA